Kijana ushe2
Senior Member
- Apr 6, 2017
- 179
- 127
Wanajamvi nimekuwekea link ya moja kwa moja kuangalia machagulio ya SHULENI na tahasusi kwa SHULENI zote Tanzania Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2021
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wetu wamefauluWanajamvi nimekuwekea link ya moja kwa moja kuangalia machagulio ya SHULENI na tahasusi kwa SHULENI zote Tanzania Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati, 2021
Kwanini? Mie nimeona hapo wa kwangu nukafurahi aende tu maana Kesha kaa Sana hapa nyumbani na kiburi juuuuu...aende Sasa.TAMISEMI sijui wana kama wapi
Mimi wangu bado ni shida maana nilitegemea atapangiwa boarding lakini matokeo yake dogo anarudi homeKwanini? Mie nimeona hapo wa kwangu nukafurahi aende tu maana Kesha kaa Sana hapa nyumbani na kiburi juuuuu...aende Sasa.
Tar 5 /7Wanaenda lini!