Kun Jr
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 700
- 362
Katika hali isiyo ya kawaida kwa taarifa nlizonazo ni kuwa ktk selection ilofanyika A.T.C ni kuwa wakuu wa shule walokutana kufanye selection walikuwa 54 tu nikajiuliza je tz kuna shule za advance 54 tu? Na je selection ilifanyikaje? Pia waloenda kufanya selection walichaguliwa vigezo vipi?
source mwalimu mkuu ambaye hakwenda selection
source mwalimu mkuu ambaye hakwenda selection