haa!!! Kweeli hii ndo tz+uccm >>>>mambomrama mikoa mingine je tunataka update kutoka kwenuu
Lakini post zenyewe wanatoa lini Mkuu?
Katika hali isiyo ya kawaida kwa taarifa nlizonazo ni kuwa ktk selection ilofanyika A.T.C ni kuwa wakuu wa shule walokutana kufanye selection walikuwa 54 tu nikajiuliza je tz kuna shule za advance 54 tu? Na je selection ilifanyikaje? Pia waloenda kufanya selection walichaguliwa vigezo vipi?
source mwalimu mkuu ambaye hakwenda selection

hii ndo tanzania bwana....yan shule 4000 nakitu ma headmaster wameenda 54 tu