selection Jordan out!

selection Jordan out!

chalonyo

Member
Joined
May 30, 2013
Posts
8
Reaction score
1
Jordan University College Morogoro wametoa majina ya waliochaguliwa na tcu kujiunga na
shahada mbalimbali. Link http//morogoro.sds.org/TCU%students%20selection%202013%20aug.pdf Nawasilisha
 
ha ha ha hayana mvuto tena coz wa2 tushajua 2likopangwa ...2nasubiria tcu wa2ambie 2 kama mkopo unasomeka ila wajuze wa2
 
who told you? Jordan inasimama kama jordan na wala sio tawi la SAUT.

Ni constituent ya SAUT kijana kwahyo unataka useme havina uhusiano.
naomba unijibu. we ni finder ,then go and find out after finding out come and tell us what you found out Finder boy
 
Last edited by a moderator:
Ni constituent ya SAUT kijana kwahyo unataka useme havina uhusiano.
naomba unijibu. we ni finder ,then go and find out after finding out come and tell us what you found out Finder boy

ok, wait for feedback.
 
Last edited by a moderator:
SAUT inajitahidi kufungua branch na kudahili idadi ya wanafunzi wengi sana.
Naipongeza kwa hilo.
Pia napata mashaka sana kama ina monitor vizuri quality ya elimu inayotolewa na extensions zake.
Kuna siku nilienda branch yao Nyegezi pale Mwanza.
Nilikuta vijana wamejazana (wengi wao walikiwa wanachukua degree mbali mbali za education) ndani ya darasa (lecture room) ambalo halistahili hata kuwa darasa la A level.
Vijana wale walikuwa wamejazana kiasi kwamba wengine walikuwa wanasikiliza ile lecture wakiwa madirishani na sauti ya mkufunzi ikisikika kwa shida sana.
 
Back
Top Bottom