Hii ya ktambo mbona ,ila ahsante ngoja tuwajuze wenzetu
jordan ya wapi m naijua ya mbele
ipo Morogoro ,ni tawi la SAUT
who told you? Jordan inasimama kama jordan na wala sio tawi la SAUT.
who told you? Jordan inasimama kama jordan na wala sio tawi la SAUT.
Ni constituent ya SAUT kijana kwahyo unataka useme havina uhusiano.
naomba unijibu. we ni finder ,then go and find out after finding out come and tell us what you found out Finder boy