Selection kidato cha tano 2014-2015

seanherms

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
547
Reaction score
428
Selection kidato cha tano mwaka huu ni div 2 na 1.Ni kweli?
 
Usidanganyike,mm nimeskia mwenyewe kawambwa itv kipnd cha dakka 45 kidato cha tano ni one mpk 3
 
Hiyo ni kuanzia Form 4 ya mwaka huu mwakani Div4 hawatachukuliwa ualimu. BRN itasababisha ufauli wa juu ole WAP watakaopata Div4
 
Post za ualm zshatoka wantka one mpk three na four ya sate two mpka sate four so kama wewe wa one mpka three utajskia kusoma ualimu grade a n sawa au kama unataka kwenda five nayo pia ni sawa lakn sio kwamba et five n one na ttwo tu
 
Umekoxea 32 mpaka 34 watapatiwa mafunzo mwaka mmoja ndio wajiunge na cheti ualimu
 
Vip na hawa wa private schools wanaotangaza kuwa wanadahili wanafunzi kidato cha tano hata wakiwa na d3 au c1 na d2.. Wanasema wameruhusiwa na wizara ya elimu.. Kama kuna mtaalamu toka wizarani anieleweshe hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…