Selection kidato cha tano 2014

omba clinical officer achana na habari za advance unapoteza muda mwishowe utage huko CBG
 
Mimi nakushauri kaanze mipango ya kujiunga kidato cha katika shule za private.
Huku ukiwa unasubiria post
 
jaman wana jf,naomben msaada wenu mm nimehitimu kidato cha nne na nimepata dv iii 29 lakin comb yangu n CBG but alama za ufaulu m chemistry C,biologyB na geography D.je?nitachaguliwa kuendelea na advance?
l

Karibu Chuo cha the roman's college kilombero Morogoro.Tunatoa kizi zinaoendana kozi yako:

Mawasiliano nasi +25557848484
 
unaongelea nin! Mbona hueleweki?
 
jaman wana jf,naomben msaada wenu mm nimehitimu kidato cha nne na nimepata dv iii 29 lakin comb yangu n CBG but alama za ufaulu m chemistry C,biologyB na geography D.je?nitachaguliwa kuendelea na advance?

Hautapangwa wd nenda privet tu
 
Acheni zenu?diploma ya clinical officer mpaka uwe na bios C,chem C na phy D mwaka huu.ukiguna tembelea The National Council for Technical Education na mnaosema huyo jamaa haendi advance acheni zenu,hata hamna udungu na baraza wala mh.mzigo au mnatoa kwenye kahawa ndo mnaleta humu.selection zikitoka ndo mh.mzigo atatolea ufafanuzi ama nyie ni wasemaji wakuu wa baraza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…