Selection Kujiunga Form 5 zimetoka?

Mi ndo nimesusa kabisa, hata tuition yenyewe nimeacha, naona mizinguo tu.
 
Mpaka Septemb na masomo yanaanza January 2014.Kwanza reg. ya mtihn wa sx ni hadi Aug 30.
 
Mpaka Septemb na masomo yanaanza January 2014.Kwanza reg. ya mtihn wa sx ni hadi Aug 30.

Haaaaaah yani we ndo umenimaliza nguvu kabisa, ikiwa ndo hivyo si bora niende zangu college 2.
 
Hivi tutapeleka wapi malalamiko yetu coz serikali yenyewe inayojiita sikivu imetudanganya, kwa kuwa katika tamko lake waziri wa elimu alisema posts zitatoka mwezi wa sita, then shule ni mwezi wa saba. Leo ni mwisho wa mwezi na bado wapo kimya as if hakuna kilichotokea, hivi hii mijamaa inawaza nini au ndo kila kitu kimesimama kwa ajili ya obama? Damn!!!
 
kweli ndio kusema selikari imeshindwa kazi haiwezekani mpaka sasa post bado wanatutakia mema kweli hawa viongozi yaani hata twition nimesitisha nisikilizie selikari inakotupeleka
 
Zikitoka znaanikwa kwenye website?
Ya NECTA au Wizara ya Elimu?
Nauliza hivi bcoz niko nje ya nchi hadi September na nina kidbrother kwa sasa yuko bush country anasubir selection kama atapata.
Asanteni kwa ushirikiano.

aiseeee babayangu upo nje ya nchi zanzibar nini
 
Subiri Obama amalize ziara yake ndo wataanza kuchakata majina ila private washaanza msuri tangu mwezi wa 5 mwishoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…