Hata selection za MASTERS Mzumbe campus ya DSM kimya mpaka leo wakati za Morogoro zilishatoka cku nyingi!!.Halafu sijui ni kwa nini website ya chuo cha mzumbe-dsm haiwi updated!!??
Kwa maoni yangu campus ya mzumbe-dsm inaweza haribu reputation nzuri ya chuo cha mzumbe in long run!!!naona kama wapo kutafuta pesa zaidi