SWEET GIRL
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 520
- 377
Wadau naomba msaada nifanyeje kwani mimi nikiingia kwenye akaunti yangu ya TCU napata kama ifuatavyo
SELECTION STATUS-NOT YET PROCESSED sasa sielewi kama niko admitted au vipi na pia kwenye majina ya TCU yaliyotolewa jana ya watu ambao hawajachaguliwa jina langu halimo sasa nipo kwenye hali ya sintofahamu please naomba msaada wenu nifanyeje

Mimi mwenyewe nina tatizo kama la kwako. Toka tetesi zianze naangalia nakuta kozi zote zimeandikwa not yet processed. Kwenye orodha ya waliokosa simo, pia kwenye vyuo nilivyoomba badhi matokeo yameshtoka kama udsm, udom, mwenge mi simo. Ila niliomba choice ya kwanza Makumira ila nashindwa kujua matokeo yao yametoka ama la maana kwenye tovuti yao sijaona. msaada tafadhali maana hii pressure ni kubwa mno
Mpangamji nashukuru sana maana sina hata amani, siku za kuomba tena nazo zinayoyoma isije kula kwangu ngoja nijaribu kumpigia nione ataniambiaje na mimi,
Tumia firefox itakuonyesha vizuri, internet explorer haionyeshi sijui kwa sababu zipiWadau naomba msaada nifanyeje kwani mimi nikiingia kwenye akaunti yangu ya TCU napata kama ifuatavyo