Selection status-tcu

Selection status-tcu

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
321
Profile yangu pale kwenye selection status zinaonesha kuwa zimekuwa PROCESED hebu chekini zenu wakuu.
 
Mbona kitu cha kawaida tu!siyo kila ki2 unakurupuka na kuandika humu ndan vingne peleka FB
 
Mbona kitu cha kawaida tu!siyo kila ki2 unakurupuka na kuandika humu ndan vingne peleka FB

labda hapa mwenzako ndio kaona pakuulizia unajuaje kama anaA/C FB think before you post..
 
haya madoka wa form six wanasumbua kweli
 
jifunze kupita mitandaoni mara kwa mara ndugu.
 
Back
Top Bottom