Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
nakumbuka mbiga alisema yeye ni mkubwa kubwa tcu....huo sio uchokozi mkuuAcha uchokozi wewe...
Acha uchokozi wewe...
yaani humu waropokaji utawajua tu.
napita tu
Pole sana kijana ila hapa utasubiri sana,Chukua time ya kujifunza ukiwa Jf na siyo kukurupuka kama unaingia kwenye viblog vyenu,nilichokiandika GT kaelewa sijui wewe wa jana.
Utasubiri sana ila kumbuka hapa hatupo kuanzisha Thread uchwara afu tuchangie,mnajaza server kwa post zisizo na mashiko.
Ni Quote tena.
me yangu wameandika not yet processed , ina maana ndo wanaenda kwa awamu au...! and so if it has been processed does it mean umeshapata chuo or...!
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri,kulewa na kuchambua mambo,kama mim nilikosea ulipaswa kunisahisha na sio kutoa POVU,Kama posti yangu haikuwa na mashiko basi wahusika wangeitoa sio wewe,sasa nikuulize kati ya mimi niliyetoa thread mbovu na wewe uliyeacha kazi zako na kukesha jf kuchangia thread mbovu nani KAKURUPUKA?,Kweni jf chumbani kwako hadi ulalamike kuwa tunajaza thread mbovu?,kazi kichwa ni zaidi ya kubeba nywele mkuu,haya sasa nimeku-quote tena what next?
unaelekea ofisini nini?! Boss wa tcu...
mithali 26:4-5
sio kila mtu anaenda jeshi! Mi nimekataa kwenda jeshi kwa makusudi kwani kuna tatizo?! Nasubili nichukuliwe hatua kali za kisheria walizosema.
hahaha ongea ukweli kijana.....wewe inaonekana kuna tatizo mahali coz maelezo yako hayajitoshelezi kabisa
kwani ndugu yangu kafanya kitu kibaya kuuliza? :smile-big:
hahaha endelea kufikiri hvohvo kwamba najichanganya....na namba yako ya form 6 ninayo tutaona nani mjanjateh teh teh unafikiri najichanganya kama wewe au unataka malumbano ya hoja?!