Selection status-tcu

Hapo lazima akuamini kuwa wewe ni boss TCU.
 

mkuu ngoja nkuulize utanifanya nini sasa? namba ka unayo kuwa nayo tu, wala ht hujakosea ndio hiyo S1199/0519 ila kwa taarifa yako chuo nimeshapangiwa au nikutajie na chuo nilchopangiwa! Nenda kanibanie loan board huko ofisini kwenu huwezi tena
 
VITA VYA PANZI.Mnamatatzo gan nyie watoto? kosa ni lipi hadi mnatupiana madongo? kueni km kwel mmeapply chuo na huo ushenz wa nn? au ndo mlio ongezewa alama ndo mkafaulu. THNK BIG NOT LIKE A PIG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…