Jamani punguzeni monkari selection bado inaendlea na kama umefanya application majibu yatakuja tena ni lazima acha wasi wasi mda bado upo japo sio mwingi sana. Cha msingi kwa ss achanza kunoa kichwa kujianda na chuo
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums