Selection vyuo vya afya weka hapa e-mail yako ungaliziwe umepangwa wapi

Samahani jamani tunaomba msaada kwa ili, kuna watu tunakuta tumechaguliwa, lakini tukienda kwenye profile zetu, tunakuta wameandika checking in progress, kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusu hili tatizo naomba tujulishane kama ni tatizo la mfumo au, sabu mi nimejaribu kuwatafuta nacte bila mafanikio, simu zao hazipatikani, nilipata moja lakini hawapokei.Msaada jamani.
 

Kama vipi check me inbox Rasokauzu@gmail.com huenda nikaweza kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…