seleman msumeno
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 202
- 34
kutokana na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2013,wanafunzi waliopata daraja la kwanza hadi la tatu yaani(div.1-3) walikuwa 71,527,lakini walio bahatika kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa shule za serikali walikuwa 53,127 katika shule za serikali 241,kwa maana hiyo ambao hawakuweza kuchaguliwa walikuwa 18,400 ambapo kati yao 18,000 walikosa tahasusi na wengine 400 walikosa kuchaguliwa kabisa LAKINI kwa mwaka 2014 idadi imeongezeka wanafunzi waliopata daraja la kwanza hadi la tatu yaani(distinction-credit) wapo 73,832.je, idadi ya watakao achwa kuchaguliwa itaongezeka au itapungua naomba unipe na sababu ndg kama itapungua au kuongezeka