Selection ya kidato cha tano 2015/2016, wengi kutochaguliwa

Status
Not open for further replies.

seleman msumeno

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2015
Posts
202
Reaction score
34
kutokana na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2013,wanafunzi waliopata daraja la kwanza hadi la tatu yaani(div.1-3) walikuwa 71,527,lakini walio bahatika kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa shule za serikali walikuwa 53,127 katika shule za serikali 241,kwa maana hiyo ambao hawakuweza kuchaguliwa walikuwa 18,400 ambapo kati yao 18,000 walikosa tahasusi na wengine 400 walikosa kuchaguliwa kabisa LAKINI kwa mwaka 2014 idadi imeongezeka wanafunzi waliopata daraja la kwanza hadi la tatu yaani(distinction-credit) wapo 73,832.je, idadi ya watakao achwa kuchaguliwa itaongezeka au itapungua naomba unipe na sababu ndg kama itapungua au kuongezeka
 
Nadhani wengi watapata shule maana siasa zimeshapenya kwenye elimu bongo.
 
me naona kuna baadhi wataachwa lakin pia serikali ipo kwenye mpango wa kuongeza shule za advance. hivyo kutakuw na second selection
 
me naona kuna baadhi wataachwa lakin pia serikali ipo kwenye mpango wa kuongeza shule za advance. hivyo kutakuw na second selection

second selection niku mchelesha mwanafunzi kuanza masomo yake mapema,cha kufanya wajitahidi kadiri wawezavyo wawapeleka wanafunzi wote wenye vigezo kwenye first selection
 
tusubir tuone itakavyo kua, baada a izo selection
....
 
Mkuu mbona unanitisha kwa hizo takwimu

ndo zilivyo mkuu,wala usiogope bt kama tahasusi yoyote ile haija balance na kama una credit ya point kuanzia 2.0-1.6, ujiandae kuachwa first selection
 
Nawaombea wote wenye sifa za kwenda form 5 wachaguliwe.

Kwa ambao hawatachaguliwa, nawaomba kwa waliofaulu vizuri PCB, PCM, PGM waje CHUO CHA MAJI UBUNGO, chuo cha serikali chini ya WIZARA YA MAJI. Kwa sifa zenu, mtasoma diploma za kuja kuwa water engineers kwa miaka mi3

ADA zetu ni nafuu, lakini cha zaidi kuna mfuko wa kusomesha wanafunzi wa DIPLOMA unaitwa WATER TECHNICIAN FUND.

Ingia website ya chuo: www.wdmi.ac.tz kwa maelezo zaidi na pia APPLICATION FORM, pia waweza ingia ktk jukwaa la elimu hapa jf kwenye ukurasa wa CHUO CHA MAJI.
 
asante sana mkuu kwa kutufahamisha habari njema kama hizo
 
amna bhana kwanza ukiangalia mwaka huu shule nyingi za advance zinafunguliwa xo kama wanafunzi watakaoachwa ni wachache sana
 
amna bhana kwanza ukiangalia mwaka huu shule nyingi za advance zinafunguliwa xo kama wanafunzi watakaoachwa ni wachache sana

tutashukuru sana kama shule za kidato cha tano zitangezwa na wengi wakachaguliwa na kuendelea na advanced level
 
ndo zilivyo mkuu,wala usiogope bt kama tahasusi yoyote ile haija balance na kama una credit ya point kuanzia 2.0-1.6, ujiandae kuachwa first selection

basi wakifanya ivo ntasubiri tu second selection coz nina credit ya 2.0
 
basi wakifanya ivo ntasubiri tu second selection coz nina credit ya 2.0

lakini mkuu huenda serikali ikawa imeongezwa idadi ya shule zenye advanced level na wenye 2.0-1.6 wakachukuliwa bt tatizo ni kwa wenye tatizo la kuto balance kwa tahasusi
 
lakini mkuu huenda serikali ikawa imeongezwa idadi ya shule zenye advanced level na wenye 2.0-1.6 wakachukuliwa bt tatizo ni kwa wenye tatizo la kuto balance kwa tahasusi

mkuu me komb imebalance C-C,B-B,G-C apo inakuwaje
 
Hakuna jibu la moja kwa moja hapo. Kupitia BRN kuna shule zimekuwa upgraded (ikiwemo huku niliko) na kuanzishwa A Level. Hata hivyo vigezo ndo zitakavyo (labda) leta shida na pia ambayvo kulingana na Waraka Na. 3 wa 2015 vipaumbele ni:
  • wasichana
  • wenye mahitaji maalumu, na
  • michepuo ya sayansi, teknolojia na hisabati
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…