Selection ya kidato cha tano 2015/2016, wengi kutochaguliwa

Status
Not open for further replies.
me nadhan ukiwa na credit ya kuanzia 1.6 na kuendelea utachaguliwa cha msing ni comb kubalance tu!!!
 
vuta subira bado hujakaa kitaa wenzio tulikaa miaka hata hatulaum
 
kati ya tar.1 june-16 june will be out bt mkae mkijua watu 27,000 wameachwa kati ya 73,853
 
kati ya tar.1 june-16 june will be out bt mkae mkijua watu 27,000 wameachwa kati ya 73,853

walisema wamechagua asilimia 75 kat ya hao 73,853 so ukipga hesab za fasta fasta haiwezekani wakaachwa 27,000 hyo ni kwenye asilimia 60 hv so kama wamechagua asilimia 75 lazma watakuw wamebakia kwnye 16 elf hiv wewe hao 27,000 umewapata wap au unawatia madogo zetu uoga?
 
ila kwa kweli wizara husika mmetukomesha hata tetesi za kwamba post znatoka lini hakuna,lakini watawapa kazi sana wazazi wetu kwa sababu muda wa kujiandaa ni mfupi sana na shule zitakapo funguliwa,EWE WIZARA HUSIKA EBU SIKIENI KILIO CHETU
 
kujiandaa so shidah we andaa 2 kagodoro vitabu na sahani ndo vya muhmu vngine utakuta mbele kwa mbele shule zinafunguliwa tar 15 mwez wa 7 !
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…