Wakuu mwenye kujua ni lini au kipindi gani selected list ya walochaguliwa kwa master kwa udsm anijuze maana deadline ya application ili kuwa 15 May na kwa mfumo wa application unaofanyika manually ni vigumu kujua kama application parcage ilishafika au ilipotea au kuna makosa au kuna vitu hukuambatanisha ni shida kujua! Nasikia Mzumbe wametoa tayari.
uliapply course gani? kwa mba part time wameshatoa majina na barua za admission zimeshaanza kugawiwa
Mkuu kwa kawaida UDSM wana release majina kuanzia July mwishoni kwa uzoefu wangu. Mimi pia nasubiri. Kama una GPA nzuri na course uliyoomba haina ushindani jiandae tu kwa Shule mwezi Oktoba Mkuu.
Ingia kwenye website yao, alafu wewe unayesema jipieyi nzuri nafikiri sio mlimani yasasa ambayo imekaa kibiashara. Kwanza pale siku hizikila anaye apply anapata ilimradi uwe na pass zaidi kila anayekuwa admitted pale lazima atagraduate tu. Sapu zipo sana ila kuzichomoa ni kama kumsukuma mlevi. Siku hizi chuo kimejaa cheating kupita hata viongozi wa ccm. Zaidi wewe angalia unachotaka tu
Ukiwa dhaifu,hutasoma!
"THE_EMPEROR BABY"
Unatudanganya bwana... hebu usiwe mvivu angalia kwenye hiyo web yao uone M.A Education na MEMA cut off point ilikuwa ngapi mwaka 2011/2012? Kwa MBA na DS labda lakini habari ya Pass sahau kabisa labda lower second. MEMA waliishia 3.8 na M.A Ed waliishia 3.7, angalia pia course kama Economics, PSPA, Sociology, Law na Linguistics pia uone waliishia GPA ya ngapi!!!!Ingia kwenye website yao, alafu wewe unayesema jipieyi nzuri nafikiri sio mlimani yasasa ambayo imekaa kibiashara. Kwanza pale siku hizikila anaye apply anapata ilimradi uwe na pass zaidi kila anayekuwa admitted pale lazima atagraduate tu. Sapu zipo sana ila kuzichomoa ni kama kumsukuma mlevi. Siku hizi chuo kimejaa cheating kupita hata viongozi wa ccm. Zaidi wewe angalia unachotaka tu
Demography utapata na uzuri GPA yako imekaa vizuri pia. Tatizo la Demography ni kwamba kila mtu anasoma kama ilivyo MBA, Library na DS. Demography huwa kuna scholarship za UNFPA ukiwa na bahati unaweza kupata, jaribu kuomba zikitokaMkuu ni course gani kwa uzoefu wako zenye competion? Mi niliapply MA Demography GPA yangu ni 3.8
Nimeangalia sahizi kwenye web ya Mzumbe wamerelease wale walokuwaselected!
Web ipi ya mzumbe uloangalia wameweka wakati mimi sioni?Mbona tunapeana presha jamani?
Mkuu kwa kawaida UDSM wana release majina kuanzia July mwishoni kwa uzoefu wangu. Mimi pia nasubiri. Kama una GPA nzuri na course uliyoomba haina ushindani jiandae tu kwa Shule mwezi Oktoba Mkuu.
At least Second Class Lower Division kutegemeana na course. Ukiacha DS na MBA programme zingine wanataka at least 3.3 na kuendelea. Course kama Education wanaishia na Upper Second mara nyingine ya 3.8,GPA nzuri ni ya ngapi?