Selection ya Mzumbe Undergraduate,Diploma na certificate Hii hapa in form of PDF

Selection ya Mzumbe Undergraduate,Diploma na certificate Hii hapa in form of PDF

Njoon na taarifa kamil bana,mbona kwenye web yao hamna k2 ka hcho?
 
Mbona tunaharibu forum jamani? Hii si sehemu ya kudanganyana. Kama una point,itoe,halafu kama una details za kutosha za kuisupport,unaweza kuattach. Lakini sio kuamka na kupost tu vitu visivyokua na uthibitisho.
N.B:-
" JAMII FORUM IS THE HOME OF GREAT THINKERS"
 
CANDIDATES SELECTED TO JOIN INTO VARIOUS DEGREE
PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2010/2011

Acha kukurupusha watu hapa.
 
mbona unawatesa wenzio wewe?vijana wana kiu ya kufahamu kama wataendelea na degree unaleta mas hara! wa bongo mbona mizaha sana katika vitu vya msingi? huyu akipewa uongozi siatakuwa mdanganyifu kwa kuandika proposals za kiulaji.
 
mwanangu, maumivu yakizidi kamwone daktari....
 
Back
Top Bottom