Mbona tunaharibu forum jamani? Hii si sehemu ya kudanganyana. Kama una point,itoe,halafu kama una details za kutosha za kuisupport,unaweza kuattach. Lakini sio kuamka na kupost tu vitu visivyokua na uthibitisho.
N.B:-
" JAMII FORUM IS THE HOME OF GREAT THINKERS"
mbona unawatesa wenzio wewe?vijana wana kiu ya kufahamu kama wataendelea na degree unaleta mas hara! wa bongo mbona mizaha sana katika vitu vya msingi? huyu akipewa uongozi siatakuwa mdanganyifu kwa kuandika proposals za kiulaji.