selection ya pili imetoka..........

selection ya pili imetoka..........

The End..

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
4,357
Reaction score
3,835
Hivi hayo huwa ni ukweli,maana kila nae muulizaga huwa anasema eti siyo.
 
Hivi hayo huwa ni ukweli,maana kila nae muulizaga huwa anasema eti siyo.

ni kweli mkuu sijakosea na hiyo link niliyoweka ndo hayo majina kama mnataka niwape link ya source!!!
 
hpn hzo co sec selection maana sec sel ilitanganzw kutolewa baada ya tar 30 july lkn aya majina kunq tngzo linaelexea kuwa inabd waende shule kabl ya tar 30 july xo hyo inathibtisha kuwa co sec selection
 
Halaf wewe jamaa unaonekan limbukeni hayo majina sio second selection ila ni majina mapya yalioongwezwa tu pindi watu walivyobadilishiwa shule kuna baadh ya shule zikawa na nafas kutokan na ile idad waliyowekewa ila second bado maana mpaka waangalie nane hajaripot ndo wapange half hayo mjin uliyoyaweka humu mbona yamrtoka mda sana nadhan week mbili zilizopita
 
Kazi ipo,nimeambulia maneno manne

Back
Top Bottom