ANTELMI MGONELA
Member
- Aug 1, 2014
- 15
- 0
jamani inatoka lini
Vijana mna mawenge kwel kwel.
Kuweni wapole2
Mmesharudi jeshini,au mwaka huu hamjakwenda
wanaogopa wakienda huko watafomat file wakajakudisco 1st semister,so wamepostpone jeshi mpaka wamalize chuo
uko dunia ya ngapi?