Tetesi: Selection za ATC zatoka

Tetesi: Selection za ATC zatoka

mayestee

Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
97
Reaction score
32
Kwa wale wote mliojaza chuo cha arusha technical college selection zmeshatoka na majina yapo nje
Hata kama profile yako imeandka wait for selection jarb kuangalia Website ya atc
Www. Atc. ac. Tz
 
Sasa unakataa nn majina yametoka nacte yapo kweny web ya atc tayar
 
Kama wewe uliaply ATC na jina lako halipo hapo basi jipange upya, kuripoti ni tarehe 21 mwezi huu saa mbili asubuh hafi saa saba mchana zaidi ya hapo imekula kwako.
 
Back
Top Bottom