Tetesi: selection za diploma udom

Joined
Sep 7, 2018
Posts
94
Reaction score
30
habarini humu ndani? ningependa kufahamu au kupewa maelezo kwa yeyote atayokuwa nayo, kuhusiana na akaunti za udom kutokufunguka na kuambiwa tumekosea passowrd ilihali password azjakosewa and pia selection za diploma apo apo udom na zipataje?
 
u cant be serious
 
Kaka ipo hivi hapo UDOM Diploma selection Kwanza huwa zinachelewa sana tu Yaan unaweza subiri ukakata tamaa kabisa..Zaid Mara nyingi huwezi kuona majibu kwenye zile Profile hata Kama utafanikiwa kulog in hutakuta status yoyote wanachelewa Sana kuweka..Mara nyingi huwa wanatype majina kwenye website yao kwa wale tu waliochaguliwa na inachukua hata week hv ndio unakuta wameweka status kuwa umekuwa selected programme flan au hawaweki kabisa.. Kuwa mvumilivu tu selection za Degree zisikutishe sana wanaweza tangaza Hadi second selection za Degree Ila diploma nothing!! Pia suala la Kusema umekosea Username au Password ni Mara nyingi hutokea na wao hufaham kbs Hilo tatizo
 

Naomba nikuulize swali rafiki, hivi udom kuna round ngapi za Kuomba kujiunga, na round ipi ni rahisi kuchaguliwa?
 
Shukrani kaka nimependa maelezo ako merci [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwa level ya diploma mkuu
Diploma huwa wanaomba Mara moja tu mkuu hawana kuomba kwa Mara ya pili Tena..na Mara nyingii hawakuachi kabisa kukupa nafasi kwa programme uliyoomba kama umekizi vigezo Vyao..na ukikosa kwa sababu ya kujaa kwa admission capacity wanakupanga programme yoyote uliyokidhi vigezo regardless umeomba au hapana... Kiufupi huwa hawaachi mtu kabisa alieomba pale utapelekwa popote asa wewe komaa tu Uwe selected programme yoyote then nitakupa mchongo kuhamia programme utakayo mkuu wangu!!
 


Asante mkuu ngoja tufanye mchakato nitakutafuta kwa msaada zaidi.
 
Ahsante sana kwa post yako.
Ningependa pia kuuliza;
Mtu ukichaguliwa diploma hapo UDOM, kuna haja ya ku-confirm..?
Au Ku-confirm ni kwa Degree pekee..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…