selection za diploma

Clemoo

Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
71
Reaction score
15
wakuu, msaada asee izi selection za diploma wanatoa lini asee?
 
kesho saa 12 asubuhi!! So jipangee
 
yameshatoka na wenzio washaripoti as wale wa education!
 
nilimaanisha diploma holders ambao wameomba chuo kupitia central admission system ya nacte wakuu..samahan cku elaborate vizuri
 
nilimaanisha diploma holders ambao wameomba chuo kupitia central admission system ya nacte mkuu..samahan cku elaborate vizuri
 
Naombeni Msaada Kuhusu Selection Za Vyuo Vya Afya Ngazi Ya Cheti Na Stashahada Lini Zitatoka?
 
wakuu, msaada asee izi selection za diploma wanatoa lini asee?

Shukuru kawambwa Mulugo taburalasa ,hapa do u expect a clear answer?Nyie ndo mnaiabisha elimu ya tanzania hata reasoning capacity kiduchu kama ya mdudu chungu halafu mnajisifu nimesoma mimi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii serikali yakua makini nayo laasivyo utakua:bored:,but I think mapema kabisa ndani ya mwezi wa9 so jipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…