Selection za form five 2021 zimetoka?

Selection za form five 2021 zimetoka?

Joined
Sep 15, 2018
Posts
41
Reaction score
24
Naombeni msaada, nasikia selection za kwenda five2021 zimetoka .. Nilikua naomba msaada wa link itakayonipeleka moja kwa moja kwa selection hizo maana na google lakini sizipati. Msaada wenu please 🙏
 
jamani naombeni msaada nasikia selection za kwenda five2021 zimetoka .. nilikua naomba msaada wa linki itakayonipeleka moja kwa moja kwa selection hizo maana na google lakini sizipati. msaada wenu please [emoji120]
Post sio suala la siri kwamba zikitoka zisiwekwe mtandaoni


Post bado hazijatoka

Subili mwezi wa6
 
Hii kitu imekaa sana ukichukulia matokeo ya form four safari hii yaliwahi sana kutoka.
 
Hivi mbona kama wamechelewa kutoa hizo selections🤔, watoto wana shauku kujua wanaenda wapi
 
wengine walioenda private schools wanachapa kitabu siku nyingi..pre form five
 
Back
Top Bottom