Selection za kidato cha 4. ........... 2013

Selection za kidato cha 4. ........... 2013

ibrahimaly

Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
19
Reaction score
0
Wakuu naomba msaada tafadhali
mimi nimhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012.
Nimebahatika kupata division 2.
Ninapendelea kusoma comb ya pgm,
shule gani ya serikali naweza kupangiwa, au hakuna comb hiyo serikali??????????
Naomba msaada tafadhali kwa anaefahamu, na ushauri wenu
 
utapangiwa
Ndanda Boys
Njombe
Sengerema boys
zipo kama shule 6 za serikali kongwe nazokumbuka ni hizo tatu
 
Back
Top Bottom