Wakuu naomba msaada tafadhali
mimi nimhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012.
Nimebahatika kupata division 2.
Ninapendelea kusoma comb ya pgm,
shule gani ya serikali naweza kupangiwa, au hakuna comb hiyo serikali??????????
Naomba msaada tafadhali kwa anaefahamu, na ushauri wenu