Selection za kujiunga na vyuo zinatumia programme gani? au huwa ni manually done?

Selection za kujiunga na vyuo zinatumia programme gani? au huwa ni manually done?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Siku nyyingi najiuliza selection za vyuo zinatumia programme gani. Si rahisi kuzifanya manualy kuwa mtu anaangali nani kapata nini, anawalinganisha then anapata mwenye sifa ja juu.
Mfano: Mtu wa Medicine anatakiwa awe na minimum point 6, lakini lazima awe na C kwenye chemistry. Programme gani inayachanganua hayo? Huyu ana CCD, AAC, BBC DDC kwenye medicine, kuna programme inafanya hayo? Itakuwa very smart!
 
Back
Top Bottom