mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Wadau nimepita leo katika website ya tcu nkaona wametoa majina ya watu ambao hawajachaguliwa na nikaangalia jina langu halipo .. sasa nikienda kwenye profile yangu ya tcu naona selection status not yet processed .. je hii ipo sawa maana sije ikawa selection zimetoka