Selection za tcu

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Wadau nimepita leo katika website ya tcu nkaona wametoa majina ya watu ambao hawajachaguliwa na nikaangalia jina langu halipo .. sasa nikienda kwenye profile yangu ya tcu naona selection status not yet processed .. je hii ipo sawa maana sije ikawa selection zimetoka
 
Hayo majina umeyaamgaliaje kaka??....nisanue kidogo na mie
 
Mi pia kwenye profile yangu imeandikwa not yet processed yani hata sielewi tatizo ni nini
 
Nimeyaangalia tayari majina ya waliokosa chuo raundi ya kwanza...langu halimo lakini kule kwa profile bado not yet processed na ile sehemu ya application imefunguliwa tena kwa kujaza program moja tu...sasa niko njia panda hapa
 
unachekije mkuu

Kwenye web ya tcu pale ile sehemu ya news and events kuna tangazo la juu kabisa linalowahusu wale ambao hawajachaguliwa vyuo....humo kuna majina zaidi ya 9000 so u need to download ile notice afu ndo uangalie...kama unatumia simu hakikisha iwe na pdf reader
 
Wakuu fanyen kama mnayadownload hapa!!
 
Sellection zimeshatoka!! Tembelea website za vyuo!
 
Sellection zimeshatoka!! Tembelea website za vyuo!

mkuu unatisha watu hvyo!! Sio selection, bt ni majina ya watu wanaotakiwa kuapply second round, i mean kwenye selection zao 5 za mwanzo hawajapataa hta moja! Swali, je waliopo jkt inakuaje?
 
mkuu unatisha watu hvyo!! Sio selection, bt ni majina ya watu wanaotakiwa kuapply second round, i mean kwenye selection zao 5 za mwanzo hawajapataa hta moja! Swali, je waliopo jkt inakuaje?

Walioko jkt imekula kwao
 
Naona chuo mwaka huu ni mapema sana lile suala la january ni uzushi.
 
ambao hawajachaguliwa ni 8805,file ni kubwa maana ni 5.1 MB.
 
Ndio maana naichukia serikali sasa wenzetu waliopo jkt na wamekusanya simu,na kwa mazingira yale kupata in4 ni tatizo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…