hahaahaaahaa![/QUOTunafurahia matatizo kwa mwenzio
cfurahii coz kuna wanangu kibao wapo hko! Bt kmbka hlo swal kuhcu walioko jkt nilikuwa wa kwanza kuuliza humu jamvini!
cfurahii coz kuna wanangu kibao wapo hko! Bt kmbka hlo swal kuhcu walioko jkt nilikuwa wa kwanza kuuliza humu jamvini!
Waangalizie kama wamechaguliwa.
Unalifahamu geshi? miye nilipata tokeo kwa njia za panya.
vijana msiogope, hiyo ni kawaida kabsa, hizo status zitabadilika badae. Mshukuru Mungu kama jina lako halipo kwenye list ya wanaotakiwa kuomba upya, hyo inamaanisha kwamba jina lako limetumwa loan board kwa ajili ya mkopo, au pengne linasubri majina mengne yapangiwe mikopo ili kutangazwa rasmi ikiwa hauna vigezo vya kupata mkopo (inamaanisha chuo umepata, mkopo ndo endelea kumwomba Mungu).
Unalifahamu geshi? miye nilipata tokeo kwa njia za panya.
majina ya waliokosea tcu yako wap
hv maana ya first served kwny tcu ndio nini?
hv maana ya first served kwny tcu ndio nini?