Dah wale wa TEKU Ngoja niwape info kidogo me sikai mbali na chuo.
1. Jiandae kupanga chumba mitaa ya Mama John ndo wengi wanakaa huko hosteli ni utata.
2. Library na Internet cafe ni room 1 labda kama wametenganisha sasa hivi.
3. Kuna teacher wangu wa Geography wa A level pia anafundisha pale anaitwa Mr. Daud lazima akawazingue kisecondary kwasababu wengi wanalaumu.
4.Vumbi la mbeya litawanyoosha
5. Upande mmoja chuo kinapakana na mitaa ya block T kidogo ni kwa kishua upande mwingine ni bonge la uswazi.
MENGINE MTAJIONEA WENYEWE. Kama unaswali PM