SELECTION za Teofilo Kisanji Universityi na Eckernforde Tanga University...

mambo vp msafiri? nimependa text yk kwamba unashukur umepangwa teku.kwan mwenzangu teku uliiomba? mwenzio nimepangwa ila hata cjaiomba.:A S 465:

Karibuni mbeya tena mitaa ya teku wako kuchapa lami so vumbi litapungua
 
mambo vp msafiri? nimependa text yk kwamba unashukur umepangwa teku.kwan mwenzangu teku uliiomba? mwenzio nimepangwa ila hata cjaiomba.:A S 465:

Yaap mimi niliiweka kipindi kile course nyingine zilipokuwa 'not qualified' hivyo ikanibidi nibadili na kuiweka hyo ya TEKU na ndo nimechaguliwa huko. NimekuPM kitu flani nijibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…