Selection za vyuo vya kilimo 2014/2015 kweupee

yaasary

Senior Member
Joined
Mar 26, 2011
Posts
110
Reaction score
59
Habar tembeleeni website ya wizara ya kilimo kujionea majina wameweka tiyari
 
ivi nikienda kuombea chuon nitapata kweli?maana nimekuja jua juzi juzi tu wakubwa naomben ushauri
 
ivi nikienda kuombea chuon nitapata kweli?maana nimekuja jua juzi juzi tu wakubwa naomben ushauri

Jaribu; but inaonekana watu wengi sana walituma maombi co kulikuwa na very high competition
 
Fanya mchongo wa kutoa kidogo (pesa) kwa wahusika utapata tu hata ukiwa na zero utaingia chuoni mishahara kwa watumishi siku zote haitoshi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…