selection za vyuo

king rockie ATL

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
260
Reaction score
25
Jamani naombeni mnisaidie mimi nimesoma CBG na nimepata division 1 sasa kuna kozi mbili ambazo naona kuna dalili kubwa za kuchaguliwa ila leo naomba mnisaidie kama nursing iko fresh tukizingatia na maslahi pia,asanteni!
 
Kama umeshajaza tulia selection itoke,acha papara,mambo mazuri hayataki pupa!Kuhusu kozi hiyo,I think kitu chochote kinachohusiana na utabibu lazima kilipe!Subiri wadau wengine wenye mawazo zaidi watakuja,nakutakia masomo mema yenye mafanikio!
 
Yan,Mwanaume mzima ukawe nurse?
 
siioni kama ni msingi kushangaa mimi kutaka kua nurse nilichotaka mkuu ni kujua kozi kama inalipa unajua zaidi tunaangalia future!
 
siioni kama ni msingi kushangaa mimi kutaka kua nurse nilichotaka mkuu ni kujua kozi kama inalipa unajua zaidi tunaangalia future!

Ni kweli kabisa, WENYE UPEO MKUBWA WA KUONA MBALI huwa wanachoangalia sasa hivi ni unaingiza na kutoa kiasi gani bank,haijalishi unafanya kazi gani as long as ni HALALI!
 
Ni kweli kabisa, WENYE UPEO MKUBWA WA KUONA MBALI huwa wanachoangalia sasa hivi ni unaingiza na kutoa kiasi gani bank,haijalishi unafanya kazi gani as long as ni HALALI!

i could nt say t any better. Jamaa wengine wanataka sifa 2 sijui kusome Tele,cjui mining bila kua na picha kamili huko mbele kukoje mwisho wa siku unawakuta mtaan we acc inazungusha 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…