Selection!

Selection!

jakamot

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
51
Reaction score
4
Nashindwa kucheki selection yangu via simu naomba msaada wa hatua za kufuata, tafadhalini
 
Nashindwa kucheki selection yangu via simu naomba msaada wa hatua za kufuata, tafadhalini

Jaribu kuwa mvumilivu mkuu tatizo ulilonalo ni tatizo la wengi,mapishi bado hayajaiva chakula kikiwa tayari kila mwenye njaa atakula na kushiba na kuvimbiwa kama atapenda kufikia huko
 
Poa! But mbona kuna habari zisizorasmi kuwa tayari? Hata hivyo ungenipa hatua hizo ili chakula kikiiva nipakue na kuanza kula au vipi?
 
Nami Nimetazama profile yangu cas inaonesha programs nilizoomba ziko processed "YES" ila haioneshi nimechaguliwa program ipi. Nikitumia airtel *150*44# nikifika kwenye password inakataa kwamba nimekosea. Au nalazimika kuregister tena kupitia airtel?
Msaada marafiki naona presha inapanda.
 
Katika profile yako ulofungua kutokana na vocha namba ulopewa. Utakuta wamekujibu huko. Mtandao uko busy sana. Jaribu usiku muda ambao mtandao hauwi busy.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
tulieni enyi mlio na ham ya kujua chuo ulichopangiwa, things should go step by step, be partient, no wor on that. Net inalzimika kuw busy kutokana na competation ya wengi kuhitaj kupata
huduma hii.
 
Mtajua tu haraka ya nini ,hata ukijua wiki ijayo kuna tatizo gan mbona matokeo mlisubilia mpaka mkachoka.Vuta subiraa.
 
hzo inshu ni za uongo
Hakuna uongo hakuna mambo yalitoka lkn baadae waligundua habari hizi hazikutoka officially ndo maana ss hivi ukibahatika ikafunguka inasema processed wait for official announcement hivo ni kusubilia tu
 
Mim mwenyewe mkuu,nasikia tu kwamba kuna watu wameshaona walikopangiwa,toka jana naangaika bila msaada,du!:wave:
 
Nangastuka machale kundesa,nahisi tcu kuna kamchezo fulani kanafanyika sio bure
 
Back
Top Bottom