Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Pure Talent 🔥 Mechi Nane za Ligi Kuu kaweka magoli mengi kuliko mchezaji yeyote hadi sasa kwa Msimu huu 2024-25
Muendelezo wake mbele ni wa kiwango cha juu saana na ndiye anaongoza orodha ya Wafungaji Bora wa Ligi Kuu hadi sasa! Leo amekabidhiwa Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Tisa na amefunga goli moja wakati Fountain Gate ikishinda 3-1 mbele ya KMC
Mwalimu anaongeza kwa Magoli na Fountain Gate wapo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu wakiwa na alama zao 16 nyuma ya Singida Black Stars wenye alama 19
Unaona Selemani Mwalimu na Fountain Gate wakienda na Namba hizi hadi mwisho wa Msimu au tuwaache kwanze tusiwaambie?_____😀
Let's Goo!!.