self employement job post

mbenye

Member
Joined
Mar 26, 2011
Posts
26
Reaction score
0
wana JF napend kuwashirikisha katika ajira binafsi ambayo ni rahisi na haitaji mtaji mkubwa, inaitwa NETWORKING MARKETING BUSSINESS ni ajira mzuri kwa wenye ajira na wasiokuwa nayo huwa hairumii mda wako ni part time, kwa maelezo zaidi nitafute via.0784938465or 0714596587
 
Fafanua vizruri hapa hapa bila kuingia gharama ya 3rd part maana wengine wanaingia gharama za kuingia internet cafe au kununua vocha ili simu zao ziwe na internet sasa ukisema tukupigie ndio utoe mchanganuo inakuwa sio ishu hata kidogo, let us try to minimize the cost of living, Gharama za upigaji simu TZ japo zimeshuka kwa sisi wengine bado tunaona twaendelea kuibiwa so guys mnapoleta ishu ichanganue kabisa......
Najivua Gamba mie sikupigiii
 

Swadakta! nimekugongea mkuu.
 
ni forever living au tiyanshi ama oriflame?kweli changanua kabisaa!
 
Itakuwa forever living hiyo. Hakuna pesa rahisi duniani!
 
Nendeni kwenye thread hii hapa ya leo Hello Business Seekers,https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/143309-hello-business-seekers.html
 

unapoweka nafasi za kazi u have to elaborate and give important details sio mnaweka nafasi za kazi at the end of the day watu wanapiga simu kumbe ni kazi za kuuza products za alovera barabarani,be serious guys msicheze na mida ya watu
 

Unalala wanaJF walikoamkia....acha ubinafsi!!
 

Unalala wanaJF walikoamkia....acha ubinafsi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…