Self love ndio nini?

NI hali kujijali, kujipenda na kujifanyia mambo ambayo ni mazuri kwako. Kama kuenda maramara kujua afya yangu, kujitoa out mara moja moja, kuenda saluni, kuenda sehemu za massage. Nikufanya kitu roho inapenda.

Kwa kiswahili fasaha ni nini, kiukweli sifahamu naelwa maana yake.
 
Kama napenda sex je hio ni self love?
 
Self love
Ni muunganiko wa maneno mawili inaanza SELF alafu LOVE ikiwa namaana kwamba kitu chochote chanya (positive) unachokifanya katika maisha yako mfano kiwe cha kukupa furaha, mafanikio, matumaini nk. kianze na wewe na si kutegemea watu wengine nikimanisha furaha yako, muonekano wako, hamasa yako nk. isitegemee mtu mwengine ila ianze na wewe hivo yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…