Wakuu nimestishwa sana na tozo ya tsh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account gharama ambayo imepanda kwa asilimia 1200 awali ilikuwa tsh 1000 sasa nauliza haya mabenki hayana mdhibiti? Au kwa kuwa mdhibiti wamemkopesha? Tozo hii ni kubwa mno aikubaliki
CCM oyeeeee...Wakuu nimestishwa sana na tozo ya tsh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account gharama ambayo imepanda kwa asilimia 1200 awali ilikuwa tsh 1000 sasa nauliza haya mabenki hayana mdhibiti? Au kwa kuwa mdhibiti wamemkopesha? Tozo hii ni kubwa mno aikubaliki
Wakuu nimestishwa sana na tozo ya tsh 12000 kwa mwezi kwa ajili ya current account gharama ambayo imepanda kwa asilimia 1200 awali ilikuwa tsh 1000 sasa nauliza haya mabenki hayana mdhibiti? Au kwa kuwa mdhibiti wamemkopesha? Tozo hii ni kubwa mno aikubaliki
Hivi kuna watu bado wanafungua acc kwenye bank kama stanbic,mkombozi,etc,
To me nbc and crdb serve the best period!!BANK HAZINA HATA UHAKIKA WA KESHO
His Bank inaendeshwa Kwa kurda za Allah sitoshangaa ikifa siku yoyote.Hamna uongozi pale.Wenye visenti kuweni makini maana vinaweza kuyeyuka
Nigga Stanbic Bank is the richest bank in Africa na sio kweli kwamba haina uhakika wa kesho and also you should know that Stanbic is a tier, so you will be provided with a safe guarantee of your money with Stanbic Bank and you will move foward