Sema chochote kuhusiana na mabinti wa kindengeleko..

1. Waongeaji sana
2. Wacheshi
3. Wanaenjoi na maisha yao
4. Wazaaji(kuzaa hakupangii pangii)
5. Si wachoyo chakula cha usiku, hakupangii masharti (eti weekends tu, kwao ni anytime)
6. Wanajua sana kupika chakula cha usiku
7. Ila kama wanaonjesha kidoooogo kwa jirani.

Acha woga, oa wewe. Ukitema mzigo, wenzio wanachukua jumla.
 
Unataka kumuoa binti au kabila. Mara nyingi generality mbaya sana. Unaweza ambiwa kabila zuri kumbe binti tabia yake mbaya au baya kumbe tofauti.
 

duh.. Unawajua...asante sana kongosho..kuoa ndo mpango mzima!
 
Hata ukiambiwa tabia zao haitakuwa na manufaa maana huyo amechanganyika na bongo flava,utandawazi
 
Unataka kumuoa binti au kabila. Mara nyingi generality mbaya sana. Unaweza ambiwa kabila zuri kumbe binti tabia yake mbaya au baya kumbe tofauti.

ni kweli kabisa unavosema.. Ndo maana nataka nijiridhishe kwa uliyoyasema hapo juu mkuu..
 
...hapa mm ni mgeni ,nimepata mengi toka kwa Konny!
ngoja wadengereko wengine waamke wako kibao humu!
 
kama lengo lako sio 'hit n run' mchunguze taratibu...ni wanawake kama wanawake wengine, kumbuka kila mtu ana tabia yake usijudge kutokana na kabila....
 

Igwe unataka kumgeuza binti wa watu Ikemefuna?
 
Jana wamakonde, leo wandengereko. Kesho kabila gani niandae majibu?
 
Mimi naomba mniambie tabia za mabinti wa Kikwere nataka nikachumbie pale mitaa ya magogoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…