Sema chochote kuhusu Karl Marx na Adam Smith

MI nachojua Chinese practiced both capitalism and communism at same level ndio maana wapo hapo walipo

Sis tulijitia wajamaa kwa asilimia 100 we gained nothing kwa sababu tulikuwa akili za kujitegemea hatukuwa nazo...
 
Nikisikia haya majina namkumbuka sana mwalimu wangu Dr Bruda Itandala wa UDSM(RIP)

Duc in Altum
We utakumbukwa kwa lipi? Hebu muenzi mwalimu wako afurahi huko alipo km ni peponi

Philosophy is to think beyond
 
MI nachojua Chinese practiced both capitalism and communism at same level ndio maana wapo hapo walipo

Sis tulijitia wajamaa kwa asilimia 100 we gained nothing kwa sababu tulikuwa akili za kujitegemea hatukuwa nazo...
ilianza baada ya kifo cha MAO, maana alikomalia sera za kimasikini. Communism ikabaki kama tool ya kuunganisha watu na kuleta displine, serikali ye Mkono wa chuma ikaruhusu concepts from oversea kwa uangalifu. Kuanzai 1978 mipango mizito iliwekwa, mwishoni wa 80s na mwanzoni wa 90s dunia ikaanza kuona output ya mikakati. mizito. leo hakuna wa kuisogerea china na mentality ya rai wake.
hii ni era ya dengism
 
Kitabu murua vipi, kwa uzuri wa jarida lake au mawazo yaliyomo? Kama mawazo yaliyomo (yaani Ukomunisti) hayajafanikiwa mahali popote maana yake ni kuwa hayatekelezeki. Kwa hiyo mawazo/kitabu hayo hayawezi kuwa murua labda kama uliyafurahia kama riwaya.
 
communist society iliyobaki duniani ni WANAKIBBUZ, WAKO ISRAEL KARIBU NA JANGWA LA NEGEVU KIJIJI KINAITWA KIBBUZ (THE GLOBAL CENTRE OF AGRITECH INNOVATION).
LAKINI WAO NAO ILIWASHINDA BAADA YA KUJIKUTA WANATEGEMEA MISAADA MAANA
COMMUNISM INAPROMOTE UNDERPRODUCTION UVIVU NA KUTEGEANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…