Sema kigumu unachopitia upate ushauri

Sema kigumu unachopitia upate ushauri

Official Ric

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
31
Reaction score
75
Habari wanajukwaa

Lengo la uzi ni kutaka kila mwanajukwaa kufunguka kile kigumu anachopitia ili apate Suluhusho iwe

Ugonjwa,mahusiano,changamoto ya kiuchumi,Elimu na jambo lolote ambalo unahis ni gumu kwako.

Funguka wewe usiogope Mungu anaweza kuwa pamoja na wewe Ukapata msaada na kwa yoyote atakayeona post ya mtu anahitaji msaada usiache kusema chochote

Je wewe uko na shida gani..?

Funguka upone
 
Nina changamoto kubwa ya kiuchumi. Yeyote anaeguswa, naombeni anishike mkono. Mazingira yangu ni magumu mno.
 
Nilimtongoza mke wa boss wangu kwa WhatsApp akanikubalia nikashangaa mbona amekubali kirahisi hivi kabla sijapata jibu akanipigia video call nimepokea tu naiona sura ya boss kumbe hakua mke wake alikua ni yeye mwenyewe.
 
Kuacha beer Mkuu... Nitatumia muda wangu wa kukaa bar wapi?? Maana nyumbani kukaa sana baada ya kazi kelele zinakuwa nyingi na shemeji yako. Pia Nita changamana wapi? !! Uliwahi pitia hii hali??
aisee hata nam nawaza hv nitakuwa naish vp bila hz bia! Nataman sna kuacha mana had wf kunamda tnagmbn.. Msaada wakuu
 
Kuwa single mzee ni zaidi ya mawazo nina muda sipo kwenye mahusiano na kila ninayetongoza ananitolea nje sasa sijui nafeli wali,najua mtasema nitafute hela ila mbona mtaani walo vijana hata kazi hawana ila wana wapenzi wawili wawli?
Mimi nafeli wapi na umri huu 26 ni muda wa kuwa na mpenz mmoja wa uhakika wa kuanza nae maisha.
 
Habari wanajukwaa

Lengo la uzi ni kutaka kila mwanajukwaa kufunguka kile kigumu anachopitia ili apate Suluhusho iwe

Ugonjwa,mahusiano,changamoto ya kiuchumi,Elimu na jambo lolote ambalo unahis ni gumu kwako.

Funguka wewe usiogope Mungu anaweza kuwa pamoja na wewe Ukapata msaada na kwa yoyote atakayeona post ya mtu anahitaji msaada usiache kusema chochote

Je wewe uko na shida gani..?

Funguka upone
Nahitaji kazi ndugu zangu huku upande wangu pameanza kuchangamka
 
Kuwa single mzee ni zaidi ya mawazo nina muda sipo kwenye mahusiano na kila ninayetongoza ananitolea nje sasa sijui nafeli wali,najua mtasema nitafute hela ila mbona mtaani walo vijana hata kazi hawana ila wana wapenzi wawili wawli?
Mimi nafeli wapi na umri huu 26 ni muda wa kuwa na mpenz mmoja wa uhakika wa kuanza nae maisha.
Dahhhhhhh hiyo ya kuwa n mahusiano hain hark hr usiwaze utafik tu wakati sahihi utampata usijichoshe kwa hilo coz kun wenzio ss hiv wanalilia kwenye Shuka
 
Naombeni connection ya kuwa muigizaji wa picha za ngono, niwe nawatembezea wanawake mjeghuko
Kuacha beer Mkuu... Nitatumia muda wangu wa kukaa bar wapi?? Maana nyumbani kukaa sana baada ya kazi kelele zinakuwa nyingi na shemeji yako. Pia Nita changamana wapi? !! Uliwahi pitia hii hali
Mwenye dawa ya kuach pombe au ushaur mzur wa kuach pombe aje n uzi basi tumsaidie ndugu yetu
 
Back
Top Bottom