Official Ric
Member
- Jun 20, 2024
- 31
- 75
Njoo tule mkali.Sijala
Nina changamoto kubwa ya kiuchumi. Yeyote anaeguswa, naombeni anishike mkono. Mazingira yangu ni magumu mno.Habari wanajukwaa
Lengo la uzi ni kutaka kila mwanajukwaa kufunguka kile kigumu anachopitia ili apate Suluhusho iwe
Ugonjwa,mahusiano,changamoto ya kiuchumi,Elimu na jambo lolote ambalo unahis ni gumu kwako.
Funguka wewe usiogope Mungu anaweza kuwa pamoja na wewe Ukapata msaada na kwa yoyote atakayeona post ya mtu anahitaji msaada usiache kusema chochote
Je wewe uko na shida gani..?
Funguka upone
aisee hata nam nawaza hv nitakuwa naish vp bila hz bia! Nataman sna kuacha mana had wf kunamda tnagmbn.. Msaada wakuuKuacha beer Mkuu... Nitatumia muda wangu wa kukaa bar wapi?? Maana nyumbani kukaa sana baada ya kazi kelele zinakuwa nyingi na shemeji yako. Pia Nita changamana wapi? !! Uliwahi pitia hii hali??
Mungu usitupite katika hali hii!Dah nimepitia mengi, kufa kwa biashara, kutapeliwa ,mbaya zaidi kuondolewa kazini.
Nahitaji kazi ndugu zangu huku upande wangu pameanza kuchangamkaHabari wanajukwaa
Lengo la uzi ni kutaka kila mwanajukwaa kufunguka kile kigumu anachopitia ili apate Suluhusho iwe
Ugonjwa,mahusiano,changamoto ya kiuchumi,Elimu na jambo lolote ambalo unahis ni gumu kwako.
Funguka wewe usiogope Mungu anaweza kuwa pamoja na wewe Ukapata msaada na kwa yoyote atakayeona post ya mtu anahitaji msaada usiache kusema chochote
Je wewe uko na shida gani..?
Funguka upone
Dahhhhhhh hiyo ya kuwa n mahusiano hain hark hr usiwaze utafik tu wakati sahihi utampata usijichoshe kwa hilo coz kun wenzio ss hiv wanalilia kwenye ShukaKuwa single mzee ni zaidi ya mawazo nina muda sipo kwenye mahusiano na kila ninayetongoza ananitolea nje sasa sijui nafeli wali,najua mtasema nitafute hela ila mbona mtaani walo vijana hata kazi hawana ila wana wapenzi wawili wawli?
Mimi nafeli wapi na umri huu 26 ni muda wa kuwa na mpenz mmoja wa uhakika wa kuanza nae maisha.
Hii nayo ni njia sahihiIlifika kipindi ikabidi niachane na maisha tu sasa hivi nafanya mambo mengine.
Mwenye dawa ya kuach pombe au ushaur mzur wa kuach pombe aje n uzi basi tumsaidie ndugu yetuNaombeni connection ya kuwa muigizaji wa picha za ngono, niwe nawatembezea wanawake mjeghuko
Kuacha beer Mkuu... Nitatumia muda wangu wa kukaa bar wapi?? Maana nyumbani kukaa sana baada ya kazi kelele zinakuwa nyingi na shemeji yako. Pia Nita changamana wapi? !! Uliwahi pitia hii hali