Sema kuna wanaume wanadharau wake zao kupitiliza

Sema kuna wanaume wanadharau wake zao kupitiliza

chaz beezz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
217
Reaction score
865
ulioa ili iweje sasa,yaani mi najiuliza sana mtu umemuona ana faa kuwa mke why umdharau??tena unakuta ni hadharani bora iwe mafichoni. Unaenda mbali zaidi unamkalipia mkeo Kama mtoto mdogo aisee.

Uwa nawaona wengi tu hata wake zao wakiwapigia simu yaani jamaa anavyoongea na mke wake kwenye simu kwa kumfokea bila sababu unaweza jiuliza hivi hawa wanaugomvi ama nini hiki.

Basi tuseme uyo mkeo ni mbaya kimatendo siunamuacha uishi kwa uhuru tu. Niseme tu mwanaume anayemdharau au kutoa siri za ndan za mke wake hawezi kuwa rafiki yangu. Kuna jamaa alipoanza tu stori za udhaifu wa mke wake wakat tuko bar, nikajifanya naenda toilet, nikapitiliza mazima bila kumuaga.
 
ulioa ili iweje sasa,yaani mi najiuliza sana mtu umemuona ana faa kuwa mke why umdharau??tena unakuta ni hadharani bora iwe mafichoni.
Unaenda mbali zaidi unamkalipia mkeo Kama mtoto mdogo aisee ,
arau au kutoa siri za ndan za mke wake hawezi kuwa rafiki yangu. Kuna jamaa alipoanza tu stori za udhaifu wa mke wake wakat tuko bar, nikajifanya naenda toilet, nikapitiliza mazima bila kumuaga.
Sio vizuri ila masuala ya mke na mme ni mazito sanaa huwezi kuaelewa mpaka ungia ndani mwenyewe, kuelewana ni bahati nasibu.
 
ulioa ili iweje sasa,yaani mi najiuliza sana mtu umemuona ana faa kuwa mke why umdharau??tena unakuta ni hadharani bora iwe mafichoni.
Unaenda mbali zaidi unamkalipia mkeo Kama mtoto mdogo aisee ,

Uwa nawaona wengi tu hata wake zao wakiwapigia simu yaani jamaa anavyoongea na mke wake kwenye simu kwa kumfokea bila sababu unaweza jiuliza hivi hawa wanaugomvi ama nini hiki.

Basi tuseme uyo mkeo ni mbaya kimatendo siunamuacha uishi kwa uhuru tu.
Niseme tu mwanaume anayemdharau au kutoa siri za ndan za mke wake hawezi kuwa rafiki yangu. Kuna jamaa alipoanza tu stori za udhaifu wa mke wake wakat tuko bar, nikajifanya naenda toilet, nikapitiliza mazima bila kumuaga.
Mavuno ya HAKI SAWA na Feminism hayo, usitegemee kupanda mihongo ukavuna karanga, HAKUNA.
 
Khs kukaripiana,Apo usikariri mkuu
Kila mtu ana style Yake ya kuendesha maisha yake Kwny ndoa Yake

Kuna ndoa nyngn usipompiga MKE makofi au kumkaripia analalamika humpendi,kesi inaenda Hadi kwa mshenga.

Siku zote nasema,
Wanandoa wakigombana,
Wee mtu baki shika jembe ukalime[emoji4]
 
Kila mtu ana style Yake ya kuendesha maisha yake Kwny ndoa Yake

Kuna ndoa usipompiga MKE makofi au kumkaripia analalamika humpendi

Kwaiyo usikariri mkuu,
Wanandoa wakigombana, shika jembe kalime

Mwanaume mkali mwenye misimamo na upendo ndio MWANAUME 🤣
 
Back
Top Bottom