mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Oct 24, 2020 #1 Naona mitandaoni wana yanga wakitaka wema ampunguzie Dogo dozi. Je nini kina endelea baina yao?
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Oct 24, 2020 #2 Hakuna mchezaji hapo tumeshampoteza..
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Oct 24, 2020 #3 Mambo ya mastar hayo hatari.
L LADYLUV Senior Member Joined Mar 22, 2017 Posts 147 Reaction score 97 Oct 24, 2020 #4 Anatengeneza mazingira hela zibaki nyumbani
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Oct 24, 2020 #5 Walikuwa wanafanya Tangazo la maduka ya gsm.. Wa Tanzania tunavyopenda umbea...ndio maana wakamuita wema.. sababu alikuwa anahusishwa interest na Callinho kitambo
Walikuwa wanafanya Tangazo la maduka ya gsm.. Wa Tanzania tunavyopenda umbea...ndio maana wakamuita wema.. sababu alikuwa anahusishwa interest na Callinho kitambo