Sema ugonjwa wowote unaokusumbua wataalamu wa afya watakusaidia

Sema ugonjwa wowote unaokusumbua wataalamu wa afya watakusaidia

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Humu jukwaani Kuna madaktari,manesi,wakunga, wataalamu wa tiba mbadala,na wabobezi wa masuala ya afya,hivyo

Uzi huu ni maalumu kwa wale wote wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali

Una ndugu yako ameugua kwa muda mrefu,huoni solution waambie wataalamu wa afya watakusaidia.

Kwa upande wangu Kuna ndugu yangu ameugua HIV and AIDS

Je dawa ya huu ugonjwa ipo?

Karibuni wataalamu wa afya
 
BIG BUTTS SYNDROME
8fdc799c572efd50ca128811791721af.jpg
 
Tumbo kuunguruma hasa usiku na nikila chakula Cha mchana linakuwa kama linawaka moto (situmiii pili pili Wala vyakula vya viungo vingi Wala soda nimeacha )
 
Back
Top Bottom