Sema ukweli, umewahi fanya mapenzi na wanaume au wanawake wangapi?

Wengi huona fakhari sana suala la kuzini.
Ni uasi mbele ya Mola.

Nimeshafikisha miaka 40+ na nina mke ndiye huyo tu ninayemjua kimapenzi.

Sijawahi kuzini na maisha yanaendelea kama kawaida.

Maisha bila uzinifu yanawezekana.
Uzinzi ni ideology ya dini na mafundisho. Na ni dhana ya mind manipulation. Wazee wetu wa zamani wa kiafrika ambao waliishi kwenye spiritual level kubwa hawakuwa wajinga kuwa na wanawake wengi. In fact, you create your world from your thoughts. Ukifkr kitu flan zinaa achana nacho, coz it makes sense kwako not to everyone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…